MAADHIMISHO YA SIKU YA SHINIKIZO LA DAMU DUNIANI – 17 MEI 2025

Uongozi wa Afyamedicare Health Center unatoa taarifa kwa umma kwamba siku ya Jumamosi, tarehe 17 Mei 2025, hospitali itashiriki katika maadhimisho ya Siku ya Shinikizo la Damu Duniani.

Katika kuadhimisha siku hii muhimu, Afyamedicare Health Center itatoa huduma kwa wananchi ikiwemo:

  • Upimaji wa shinikizo la damu
  • Elimu ya afya kuhusu madhara ya shinikizo la damu
  • Ushauri wa kitabibu na lishe bora
  • Uchunguzi wa awali wa magonjwa yasiyoambukiza

Tunaendelea kuhimiza jamii kujitokeza kwa wingi kujifunza na kuchukua hatua madhubuti za kulinda afya zao.

Vertex Hospital – Tunajali Afya Yako.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like these

No Related Post